Naurusha moja kwa moja kwa ma love popote alipo anaposoma hii thread...
nami naudedicate kwa yule anayeutesa mtima wangu....Naurusha moja kwa moja kwa ma love popote alipo anaposoma hii thread...
nami naudedicate kwa yule anayeutesa mtima wangu....
Hahahahahahaaa kuna watu inabidi wawajibike katika kuiunganisha jamii na kusaidia wengine kwa vitu kama hivi....hahahaa, inabidi umlipe Musimo arifu..
Teh Teh imekula kwako aiseee pole sana...lol naona watu "mnadedicatiana" tu,kweli asiye na wake adedicatie hata jiwe teh teh
Wewe umemdedicate nani??lol naona watu "mnadedicatiana" tu,kweli asiye na wake adedicatie hata jiwe teh teh
I love this song, pamoja na love doesnt ask why pia wa celine
Teh Teh Teh mkuu nimetimiza kama ulivyoniagiza
Hahahahahaaa hivi bado wanakuita mzee wa chungwa twende tukananii?Hahahahaaah!! Nilibanwa na majukumu ndugu yangu.
Hahahahahahaaa dogo unaruhusiwaPrinciple of "TRANSMISSIBILITY" is Applicable here??