MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
You must understand
That the touch of your hand
Makes my pulse react
That it's only the thrill
Of boy meeting girl
Opposites attract
It's physical
Only logical
You must try to ignore
That it means more than that
Tina Turner; What's Love got to do with It
Kwa ufaham wangu. . . . . .Upendo na matamanio au vyovyote utakavyoita ni vitu viwili tofauti na havichangamani,ni kama maji na mafuta.Tatizo kubwa sana lililopo kwenye jamii yetu ni kuwa hatukufundishwa maana ya kupenda au kupenda ni kitu gani.Tumejikuta wakubwa na tumeamua kujitafsiria mambo hovyohovyo.Matokeo yake tunatamaniana halafu tunaita upendo.Upendo ni hali ya juu kabisa ya hisia,kila mmoja wetu anahitaji upendo,haijalishi ukoje na una nini.Ukiujua upendo umejua maana ya maisha na utayafurahia na utapata furaha ya kweli.Swali linakuja. . .Upendo nini?Ni vigumu sana kuelezea upendo ila kwa kifupi upendo ni KUMKUBALI AU KUJIKUBALI BILA MASHARTI!
Upendo unafundishwa...?Kwa ufaham wangu. . . . . .Upendo na matamanio au vyovyote utakavyoita ni vitu viwili tofauti na havichangamani,ni kama maji na mafuta.Tatizo kubwa sana lililopo kwenye jamii yetu ni kuwa hatukufundishwa maana ya kupenda au kupenda ni kitu gani.
Well Love.. (takes time to grow) Tamaa Lust (Short lived) ingawa hakuna guarantee kwamba tamaa na lust wont develop into deep love.., Infatuations.. (well time will tell kama ile uliyokuwa nayo ni infatuations) cause it not long lived.., Ingawa hata Love ya kweli does not mean kwamba ukiwa dissapointed haiwezi ikafa (hence short lived)
love ni love -long term commitment ya body na soul,ni permanent
matamaninio ni matamanio-ni short commitment ya body -haina nguvu,ni flexible ni temporary,
but matamanio yanaweza kujenga love
ila love haiwezi jenga matamanio
mapenzi upofu ,mwanzoni hata kama mtu mfupi utaona mrefu, moyo mdanganyifu sana jamaniKwani unajiskiaje?
Umeshapita muda gani tangu ujisikie kihivyo?
Kwa kifupi mwanzo wa penzi hasa la ghafla utajisikia hali
fulani ya kusadikika ambayo ukishapita muda wa kutosha
utaanza kuwa kwenye ulimwengu halisi, macho yako
yataona ukweli na akili yako itaweza kuchakata mambo.
Utajikuta kila jambo unalipima na kuliweka kwenye uhalisia.
Ukiona hivyo ujue infatuation ishapita.
kama mwaka umepita hapo upo kwenye real love sasa.ndo penyewe.matamanio yanaisha tu ndani ya muda mfupi,hujawai kuona wapenzi siku mbili tu hakuna feelings kabisa while mwanzoni kila mtu alikuwa crazy na mwenzie?Da Mdogo aksante sana umeiweka vema but je kuna muda maalumu?? Mfano Mj1 nimekufa nimeoza kwenye relationship ya mtu ambaye nimekuwa naye kwenye contact naye kwa mwaka mmoja, I still feel those butterflies in my stomach everytime he calls, SMS, emails or even when I think of him, je nikuendelea kufeel the same kwa muda gani ndo ninawezajudge kuwa its more than infatuation??
Su wu umejibu vema but swali langu ni kuwa, honestly nimeshakuwa kwenye stage ambayo inafit infatuation............... yaani zile raha, moyo kwenda mbio na hali ya kuhisi kuwa bila yeye wewe hufai umekuja kimakosa duniani yaani zipo ila najiuliza ni kwa muda gani inatakiwa feeling hii kulast? Je kuna muda ambao ni permanent kuwa ukipita basi ni kama akili inafunguka na kukualert kuwa hey that or this is not love bali ni infatuation??Upendo unafundishwa...?
Mi nadhani chochote, feelings zinazokufanya kupenda kuwa na mtu fulani, kufurahia company yake, (basi ni vema ku-cherish).., does not matter hicho kitu utakibatiza jina gani..
Kumbuka chochote kile utakacho-feel leo (matendo ya mwenza wako, na kupalilia kile kilichopo) kitafanya kama mwezi kesho au mwaka kesho feelings zako kwa huyo mtu... (whatever you want to call that chochote)
miss u my angel sis :focus:Da mkubwa umekuwa infatuated with mbu halafu unaona inalast long eeh!
Mi niliwahi kutamani (ila tamaa yangu ilikuwa na upendo wa kweli) iliisha nilipogundua kuwa niliyemtamani siwezi kuwa nae.
Nafikiri hata kwa wengine, tamaa huisha pale unapokuta mambo ni tofauti na ulivyokuwa unaimagine au unaposhindwa kupata unachokitamani.
90% ya wanaonitaka naona wananitamani tu
wachache wananilove
i need a soul mate na sio body mate
Luv takes tym.
u a lucky naona mbu ni soul mate na body mate vilevile perfect combinationBaby gal.......Soulmates wapo aisee..sikuwa ninaamini until nilipokutana na Soulmate Mbu lol......... so perfect aisee
Tulia utabarikiwa
miss u my angel sis :focus:
:focus::focus:sitaki uchakachuzi hapa