When a woman is willing to sacrifice anything for you😅😅To you Papa D,
I know you know how much I love you.
Wachana na maneno ya wanga,
Nisikize mimi,nipe vya uvunguni usinibanie,
Nilaze kwenye kifua chako Mashaallah, usiniache hewani.. Nipo tayari kwa ajili yako..
Nakupenda Leo mpaka kesho..
Hazard CFC
Duuhh , Wanawake bana hampendani....Ma x tupa kule
Aisee 😀😀😀😂 Tumefika wanga wenyewe tusioua kwa siraha ila maneno.. naanza namna hii
Kwako mweka mada
Mpende akutende,mguu uote tende
Tena kwetu wapambe,abadani tukuchambe!
Na vile ulivyo mzembe,utamuacha akutende
Sisi yetu pombe,wewe lako tende!
Wanga tutakuwangia,tusilipwe hata lupia
Tena tutakufanyia,asilani hutomsikia!
Jitweze mahabani,yakukute mbeleni
Mpe ya sirini,akuvuruge taabani!
Muite wa mahaba,akupe msiba
Akujaze kibaba,uanze kuiba!
Wanga wa wahanga,nimekulia yamini
Manyanga na vimbwanga,havikutoki mwilini!
Mipango nimepanga,yatakutoka mapunyeni
Mimi ndio mwanga,wa mahaba habaduni..😜
Sio walimwengu tu, Bali wanataka kujua Jolie Jolie , yuko wapi?.
Halafu wakati mwingine sio powa kabisaWhen a woman love
She becomes totally blind & deaf
Jamaa mbaya sana weee.. Ukatumia weee Zana yake baadae ukapiga chini??
Ila Jolie naye mwanzo alipokua Anakunywa mbili moto mbili baridi , naye alikua anaturusha sana roho humu, siku izi simuoni.Kama utamu haujaisha wamumunye tuu
Hakuna unayeweza kumwelewa kwa sasa. Nkutakie furaha tuu😂😂Mie nimezamaa sielewi
Mimi hakuna mwanamke ashanipenda akawa kipofu na kiziwi juu yangu..When a woman love
She becomes totally blind & deaf
Lkn nashauku , unajua kuna Wanaume na wanawake mpaka wanaoa au kuolewa anakua natembea na wanawake/wanaume kushinda hata idadi ya miaka yake?.Mpira kupasiana