#WhatWouldMagufuliDo: Upepo wa Rais wa Bongo wavuma Ughaibuni

#WhatWouldMagufuliDo: Upepo wa Rais wa Bongo wavuma Ughaibuni

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,348
Ikiwa imepita takribani Wiki Moja tangu Rais wa Tanzania, Pombe Magufuli apate umaarufu wa aina yake kwenye mitandao ya kijamii kote Afrika Mashariki kupitia kampeni isiyo rasmi ya #WhatWouldMagufuliDo , sasa umaarufu huo umefika hadi nchini kwenye mataifa kadhaa nje ya Afrika.

attachment.php

Mwandishi wa makala wa Muaustralia, Rowan Dean ameandika makala murua kwenye Gazeti la The Scotsman akiiasa Serikali yake kujifunza jambo kutoka Afrika, kutoka kwa Rais wa Tanzania, Pombe Magufuli kuhusu ubanaji wa matumizi.

Sehemu ya Makala hiyo ambayo iliandikwa kwanza kwenye Gazeti la Daily Courrier la Australia inamuasa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Malcolm Turnbull ambae anatajwa kuwa mpenzi wa mitandao ya kijamii, ajiulize, "#WhatWouldMagufuliDo "

=====================================
=====================================
Opinion: Malcolm Turnbull could do worse than follow the example of Tanzania's new president

59f898361eef0597994be54f5782e13e

Tanzania's new President John Pombe Magufuli holds up a ceremonial spear and shield to signify the beginning of his presidency on November 5. (AP Photo/Khalfan Said)

AS TWO in three Australians wallow in the warm glow of Malcolm Turnbull's first 11 weeks of procrastination, indecision and waffle, over in Tanzania a brand new president is actually getting on with doing the job.

In his first month, President John Magufuli has launched an extraordinary austerity drive (note to young readers – no, "austerity" is not a swear word) to tackle his government's wasteful spending.

Where Turnbull has headed off parading around the world pontificating at pointless exercises like the Paris climate change conference, upon winning last month's election Magufuli cancelled all further overseas travel and first and business class airfares for government officials.

Where Turnbull has presided over endless economic gabfests where "everything is on the table" and "nothing is ruled in or ruled out", Magufuli immediately ditched all such seminars being held in expensive hotels, insisting government ministers use their own boardrooms.

Impressively, Magufuli cancelled the Independence Day celebrations and put the money into hospitals and health. "It is so shameful that we are spending huge amounts of money to celebrate 54 years of independence when our people are dying of cholera," Magufuli said last week.

He also slashed the budget for his own inauguration parties by 93 per cent, putting the cash into a nationwide clean up, and, in an intriguing version of our own Clean Up Australia Day, has instructed people to celebrate his election by cleaning up their own backyards.

Where Turnbull boasted to Parliament that it was "no news to anybody" that he is wealthy, Magufuli is lauded for the opposite reason: as a government minister he could have made himself incredibly rich but chose not to.

Determined to tackle Tanzania's endemic corruption, Magufuli has ordered government engineers who are used to driving around in expensive V8s to go and get utes instead, and the new President immediately scrapped a plethora of special tax "exemptions" and "sitting allowances" for wealthy government officials.

Where Turnbull likes to pretend he is a man of the people by tweeting on trams, Magufuli actually drives the 600km from his home town to the capital to avoid the cost of the airfare.

On an unannounced visit to a major hospital Magufuli insisted on walking through the worst sections, normally hidden from view.

He then fired the director and the board, put in a new director, and told him that unless all the medical equipment was fixed within a fortnight he too would face the sack. Surprise, surprise, everything was repaired within three days.

Chanzo: The Courrier - Mail, Brisbane
 
Attachments

  • 12311198_926044744154346_4210815923191774114_n.jpg
    12311198_926044744154346_4210815923191774114_n.jpg
    46.7 KB · Views: 6,775
Mkuu rudi kusoma tena hiyo nakala.sio jama unavyosema.

swissme
 
Ameanza vizuri Rais wetu kama akiendelea hivi kwa kipindi cha miaka 2 ya mwanzoni nina uhakika hata safiri nje ya nchi bali viongozi wengi wa nchi za nje watatamani kufanya ziara Tanzania na kukutana na huyu Jembe Tingatinga.

Hata JK atakuwa ashamuonea kijicho jinsi jamaa anavo make headlines kimataifa. East Africa sahiv nani hamfaham magufuli?

"Let support our president, he can do us many things"
 
The bulldozer, amejulikana within no second. Haitaji kusafiri ku make press na akina Daudi Kameruni.

Action speaks volumes
 
Mkuu rudi kusoma tena hiyo nakala.sio jama unavyosema.

swissme
Mkuu we labda utakuwa hujaisoma. Hiyo habari imeandikwa Australia na imemuelezea Magufuli kwa kulinganisha mbinu zake za kubana matumizi na namna gani waziri mkuu wa Australia anaweza kujifunza hapo. Sasa sijui una maana gani kumkosoa mtoa mada akati yupo sahihi.

Unless labda unataka kutuambia Australia sio ughaibuni?

Halafu nimeona unamkosoa sana Rais kwa vitu ambavyo ni facts hiyo sio nzuri hata kidogo. Utakuwa unajiumiza roho bure kumchukia Magufuli akati kwa kipindi kifupi ameonesha ana nia kweli ya kututoa hatua moja kwenda nyingine.

#growupman
 
yaan yajisikia amani sana kuwa na rais mkorofi magufuli.....mkwere ametuumiza sana
 
Mkuu rudi kusoma tena hiyo nakala.sio jama unavyosema.

swissme

We subiri articles zilizoandikwa na kina Pasco ... hizi za kizungu we huziwezi..ulipaswa kupita kimyakimya...au atleast kutupia kamstari ka "no comment"
 
Last edited by a moderator:
Akiendelea hivi itakua fahari kusema wewe ni mtanzania uwapo ughaibuni maana wazungu washaanza kutuelewa kidogo.
 
Akiendelea hivi itakua fahari kusema wewe ni mtanzania uwapo ughaibuni maana wazungu washaanza kutuelewa kidogo.

Yani now najisikia fahari sana. soon nitaanza kuwa navaa skafu ya bendera ya nchi yangu Tz popote niendako
 
Jamani mbona magazeti ya bongo hayaripoti hii? inatakiwa yaripoti kila mtu ajue kwamba JPM anavuma mpaka ughaibuni! au wadau mnasemaje?
 
Magufuli ni habari ya dunia kwa sasa
 
Mkuu we labda utakuwa hujaisoma. Hiyo habari imeandikwa Australia na imemuelezea Magufuli kwa kulinganisha mbinu zake za kubana matumizi na namna gani waziri mkuu wa Australia anaweza kujifunza hapo. Sasa sijui una maana gani kumkosoa mtoa mada akati yupo sahihi.

Unless labda unataka kutuambia Australia sio ughaibuni?

Halafu nimeona unamkosoa sana Rais kwa vitu ambavyo ni facts hiyo sio nzuri hata kidogo. Utakuwa unajiumiza roho bure kumchukia Magufuli akati kwa kipindi kifupi ameonesha ana nia kweli ya kututoa hatua moja kwenda nyingine.

#growupman

well said
 
Huyo jamaa sio mtanzania
 
Back
Top Bottom