displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Hakika habari za mtu huyu zimeenea miji yote ya Galilaya.
Na azidi kutenda vyema ili Malkia wa Sheba na watawala wengine waje kushangaa na kuchota hekima yake.......
Hakika habari za mtu huyu zimeenea miji yote ya Galilaya.
watanzania bwana..yaani ndani ya siku 25 amefanya hayo na unaona serikali iko kazini bila mawaziri..
kuna misleading nyingi sana katika taarifa zinazosambazwa nje ya nchi kuhusu kilichofanyika. nimefatilia taarifa nyingi zinapotosha. Sijui ni tatizo la tafsiri.
eti hela za uhuru zitumike hospitalini, mara kuna gazeti linasema zitumike kwenye usafi.
God still loves our country.Good!!!!!! Thus Why He Ask Tanzanian To Pray For Him. GOD BLESS TANZANIA,GOD BLESS OUR BELOVED PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFURI.
Tanzania under Pres. Magufuli is on the map for all people to see and learn!Is about the time we should hear positive
Things about Tanzania . I keep praying for you
Mr. president.
Mkuu we labda utakuwa hujaisoma. Hiyo habari imeandikwa Australia na imemuelezea Magufuli kwa kulinganisha mbinu zake za kubana matumizi na namna gani waziri mkuu wa Australia anaweza kujifunza hapo. Sasa sijui una maana gani kumkosoa mtoa mada akati yupo sahihi.
Unless labda unataka kutuambia Australia sio ughaibuni?
Halafu nimeona unamkosoa sana Rais kwa vitu ambavyo ni facts hiyo sio nzuri hata kidogo. Utakuwa unajiumiza roho bure kumchukia Magufuli akati kwa kipindi kifupi ameonesha ana nia kweli ya kututoa hatua moja kwenda nyingine.
#growupman
Zanzibar crisis what would Magufuli do? Zaidi ya mwezi amefumba macho.
mimi sijaona bado jambo lenye tija tokea kuapishwa kwa magufuli, haya mambo aliyofanya yote fedha zitaingia serikalini hatujui badae zitaishia wapi lakini vipi magufuli angeweza kuleta change ambayo mwananchi mmoja mmoja atafaidika kama:-
- tunataka tuone bidhaa kama chakula vinapungua bei
- nauli usafiri wa ndani zinapungua
- ajira tone anatengeneza
- kama ameweza kusave hizo hela pia tuone ameongeza mishara kwa wafanyakaz wa serikali kuanzia kima cha chini Zaidi.
- lakini pia hospitali sio muhimbili tu, kuna watu Tz hawajuwi ospital inaitwa muhimbili
- tuone anatoa matamko urasimu na ubaguzi ondoke watu kwenye ukuomba ajira nk.
- Azalishe ajira sio jana nimesoma ana mpango kupunguza wafanayakazi lakini sasa waende kufanya kazi wapi?
- Hawa watu maskini tija yao nini? au tufurahie tu kuwafukuza makamishna ambao ni mafisadi inatosha?
Mambo hayo ndio mambo ya msingi kwa taifa la Tz kwa muda huu.
Mambo ya Zanzibar yataamuriwa na Wazanzibar wenyewe hasa kuhusu masuala ya uchaguzi. Tume ya uchaguzi ya Zanzibar haitakiwi kuingiliwa na mtu yeyote au chombo chochote. Hii ni kwa mujibu wa sheria. Sasa ulitaka rais wetu Dkt Magufuli avunje sheria!? Rais hatakiwi kuingilia maamuzi ya ZEC...mkitaka aingilie basi sheria ibadilishwe kwanza...ila hiyo iliyopo inapiga marufuku ZEC kuingiliwa.
Jamani mbona magazeti ya bongo hayaripoti hii? inatakiwa yaripoti kila mtu ajue kwamba JPM anavuma mpaka ughaibuni! au wadau mnasemaje?