#WhatWouldMagufuliDo: Upepo wa Rais wa Bongo wavuma Ughaibuni

#WhatWouldMagufuliDo: Upepo wa Rais wa Bongo wavuma Ughaibuni

kuna misleading nyingi sana katika taarifa zinazosambazwa nje ya nchi kuhusu kilichofanyika. nimefatilia taarifa nyingi zinapotosha. Sijui ni tatizo la tafsiri.

eti hela za uhuru zitumike hospitalini, mara kuna gazeti linasema zitumike kwenye usafi.

Those are nitty grittys that don't affect the key msg of the reports which is a President who has cut spending in currently useless endeavours to accomplish more necessary ones.
 
Mungu akupe nguvu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,maendeleo yetu yapo mikononi mwetu na wala si kwa kuombaomba kwa hao mabeberu.Tuko na wewe na tupo tayari kufunga mikanda ,tuendane na kasi yako.Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mmbariki Rais wetu Dr John Pombe Joseph Magufuli.
 
Hizo nchi za wenzetu zitulie wala zisipige mayowe. Mbona wao kuna vipindi walikuwa wanafanya vizuri na sie tukawa tunakwama, na mbona kipindi sisi tunafanya vibaya wao walikuwa wanatudhiaki kwa kuwacholesha viongozi wetu kwa kuwapa vizawadi uchwara eti wameleta maendeleo kumbe ni usanii mtupu? wanaweza wakaanza kutuomba radhi kwa dhiaka walizokuwa wanatufanyia? sasa sisi kumpata Magufuli iweje ije kuwauma wao leo na wakati hata kiuchumi hatuko sawa? ni wanafiki wabaya sana hawa majamaa.
 
mean while lowassa huko nje anajulikana kwa ufisadi tu nothing else wikileaks
 
Magufuli ukiwageukia na viongozi waliokutangulia na kujilimbikizia mali nitachana kadi yangu ya Chadema. Otherwise, kuonea perege na kumuacha kamongo hutanishawishi!!!
 
kwa magufuli kila goti litapigwa.
 
Miaka 10 ya Dokta Profesa Jakaya M. Kikwete sio mchezo, maana kaleta maendeleo makubwa sana na kikubwa kabisa kaacha ametuandalia kiongozi ambaye ni mfano kwa dunia nzima sasa JP Magufuli!
 
Ukifikiria: hivi ndivyo alipaswa JK kufanya. Maskini, elimu ni kitu muhimu. Kuna watu huenda shule lakini hawaelimiki!
 
sio lazima uzurure duniani na kupiga picha na kina 50 cent eti ndo kujulikana,ni roho nzuri tu a utendaji wa dhati utakupa credit. Jisomee mwenyewe

Opinion: Malcolm Turnbull could do worse than follow the example of Tanzania?s new president

November 29, 2015 5:00pmRowan DeanThe Courier-Mail
59f898361eef0597994be54f5782e13e
Tanzania?s new President John Pombe Magufuli holds up a ceremonial spear and shield to signify the beginning of his presidency on November 5.(AP Photo/Khalfan Said)
AS TWO in three Australians wallow in the warm glow of Malcolm Turnbull?s first 11 weeks of procrastination, indecision and waffle, over in Tanzania a brand new president is actually getting on with doing the job.
In his first month, President John Magufuli has launched an extraordinary austerity drive (note to young readers ? no, ?austerity? is not a swear word) to tackle his government?s wasteful spending.
Where Turnbull has headed off parading around the world pontificating at pointless exercises like the Paris climate change conference, upon winning last month?s election Magufuli cancelled all further overseas travel and first and business class airfares for government officials. Where Turnbull has presided over endless economic gabfests where ?everything is on the table? and ?nothing is ruled in or ruled out?, Magufuli immediately ditched all such seminars being held in expensive hotels, insisting government ministers use their own boardrooms.
Impressively, Magufuli cancelled the Independence Day celebrations and put the money into hospitals and health. ?It is so shameful that we are spending huge amounts of money to celebrate 54 years of independence when our people are dying of cholera,? Magufuli said last week.
He also slashed the budget for his own inauguration parties by 93 per cent, putting the cash into a nationwide clean up, and, in an intriguing version of our own Clean Up Australia Day, has instructed people to celebrate his election by cleaning up their own backyards. Where Turnbull boasted to Parliament that it was ?no news to anybody? that he is wealthy, Magufuli is lauded for the opposite reason:
as a government minister he could have made himself incredibly rich but chose not to. Determined to tackle Tanzania?s endemic corruption, Magufuli has ordered government engineers who are used to driving around in expensive V8s to go and get utes instead, and the new President immediately scrapped a plethora of special tax ?exemptions? and ?sitting allowances? for wealthy government officials. Where Turnbull likes to pretend he is a man of the people by tweeting on trams, Magufuli actually drives the 600km from his home town to the capital to avoid the cost of the airfare.

On an unannounced visit to a major hospital Magufuli insisted on walking through the worst sections, normally hidden from view. He then fired the director and the board, put in a new director, and told him that unless all the medical equipment was fixed within a fortnight he too would face the sack. Surprise, surprise, everything was repaired within three days.
v1


So popular and successful is his austerity drive that his name has coined a new verb: to ?magufulify?, one wit claimed, is ?to make something faster and cheaper? and ?to deprive public officials of their capacity to enjoy life on taxpayer?s expense?.
Even better, his measures have spawned an entire social media campaign where Tanzanians question their spending habits by asking #WhatWouldMagufuliDo? As with the best social media campaigns, these are both insightful and hilarious. One shows a trio all perched on the one motorbike dragging a wheelbarrow behind them with the caption: ?My boys and myself wanted to hire a car to go to the village but then we thought #WhatWouldMagufuliDo? ??
This is practical innovation, rather than the faux-innovation that Turnbull talks a lot about but has yet to demonstrate in any tangible way. As Australian national government debt still sits around $400 billion, it?s a tragedy for our offspring that we didn?t get a John Magufuli instead of a Malcolm Turnbull.
This week, despite making vague mutterings about spending, Turnbull grandly announced there would be ?no slashing and burning? of our federal budget. Rather than using his authority and popularity to sell an austerity message, he has done the opposite. The message is clear: our high debt, profligacy and government waste are here to stay. With his astronomical poll ratings, Turnbull could have done anything he wanted on gaining power ? if only he?d used his popularity to offer economic leadership as inspirational as that of John Magufuli.
Indeed, he justified his coup on the spurious grounds of talking up our economic performance, or some such twaddle. Yet, in the past 11 weeks we?ve had an awful lot of talk, but as the Financial Review reported on the weekend, new research shows ?voters marking down the government?s performance in every policy issue of concern since Tony Abbott was replaced.?

Where Turnbull drones on about ?agility?, ?flexibility? and the like, Magufuli has opted for a simple three word slogan: Hapa Kazi Tu, (loosely translated ?here all we do is work to serve?). Now that?s innovative.
 
It is so saad to live in a contry for ten years withuout a leader....thanx God has heard our prayer!!

Tht's TZ and that's We
 
Ukifikiria: hivi ndivyo alipaswa JK kufanya. Maskini, elimu ni kitu muhimu. Kuna watu huenda shule lakini hawaelimiki!
Mkuu, unamaanisha ndo sababu alisema hajui kwann Tanzania ni masikini?
 
It is so saad to live in a contry for ten years withuout a leader....thanx God has heard our prayer!!

Tht's TZ and that's We

Kwa nini hamuandiki tu kiswahili yakaisha? Sasa hapa umeandika nini?
 
mimi sijaona bado jambo lenye tija tokea kuapishwa kwa magufuli, haya mambo aliyofanya yote fedha zitaingia serikalini hatujui badae zitaishia wapi lakini vipi magufuli angeweza kuleta change ambayo mwananchi mmoja mmoja atafaidika kama:-

- tunataka tuone bidhaa kama chakula vinapungua bei
- nauli usafiri wa ndani zinapungua
- ajira tone anatengeneza
- kama ameweza kusave hizo hela pia tuone ameongeza mishara kwa wafanyakaz wa serikali kuanzia kima cha chini Zaidi.
- lakini pia hospitali sio muhimbili tu, kuna watu Tz hawajuwi ospital inaitwa muhimbili
- tuone anatoa matamko urasimu na ubaguzi ondoke watu kwenye ukuomba ajira nk.
- Azalishe ajira sio jana nimesoma ana mpango kupunguza wafanayakazi lakini sasa waende kufanya kazi wapi?
- Hawa watu maskini tija yao nini? au tufurahie tu kuwafukuza makamishna ambao ni mafisadi inatosha?

Mambo hayo ndio mambo ya msingi kwa taifa la Tz kwa muda huu.
 
Karibu nchi za Europe na America wataondoa Visa kwa Watanzania
 
mimi sijaona bado jambo lenye tija tokea kuapishwa kwa magufuli, haya mambo aliyofanya yote fedha zitaingia serikalini hatujui badae zitaishia wapi lakini vipi magufuli angeweza kuleta change ambayo mwananchi mmoja mmoja atafaidika kama:-

- tunataka tuone bidhaa kama chakula vinapungua bei
- nauli usafiri wa ndani zinapungua
- ajira tone anatengeneza
- kama ameweza kusave hizo hela pia tuone ameongeza mishara kwa wafanyakaz wa serikali kuanzia kima cha chini zaidi.
- lakini pia hospitali sio muhimbili tu, kuna watu tz hawajuwi ospital inaitwa muhimbili
- tuone anatoa matamko urasimu na ubaguzi ondoke watu kwenye ukuomba ajira nk.
- azalishe ajira sio jana nimesoma ana mpango kupunguza wafanayakazi lakini sasa waende kufanya kazi wapi?
- hawa watu maskini tija yao nini? Au tufurahie tu kuwafukuza makamishna ambao ni mafisadi inatosha?

Mambo hayo ndio mambo ya msingi kwa taifa la tz kwa muda huu.
watanzania bwana..yaani ndani ya siku 25 amefanya hayo na unaona serikali iko kazini bila mawaziri..
 
Aangalie, anaweza kuishia kuwa mtu wa hovyo kabisa.

Heri mara kumi zaidi akaishia kuwa mtu kama usemavyo hapo juu bali akaijenga Tanzania imara na yenye uadilifu na nizamu kwa watumishi wa umma kwa kuifanya dhana ya kuwatumikia wananchi iwe ni wito na siyo kuimbilia kama ilivyozoeleka...naamanisha kugombea ubunge au kuteuliwa kushika nafasi fulani watu wawe wanaogopa na sio kumbilia kwa kuhonga!!!!
 
Back
Top Bottom