Habari wapendwa
Ebana wana uwanja, ni mara yangu ya kwanza kununua ipad, so ni ekuja kukuta mambo tofauti sana, mfano swala zima la app ya whattsap naona haipo humu, bali kuna whatspad sijui nn.
Kisha nikitaka kusajili ili nianze kuchat bado shida.
Msaada plz.
Shukran