ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,001
Wadada watatu walikuwa wamekaa pamoja wakinywa juisi kwenye mgahawa.
MDADA 1: najua mume wangu sio mwaminifu jana nimekuta rangi la lipstick kwenye kola ya shati lake.
MDADA 2: hata wangu nimekuta condom kwenye mfuko wake wa suruali nilichofanya nikachukua pini nikazitoboa toboa zote halafu nikazirudisha kwenye mfuko.
MDADA 3: ghafla kapaliwa na juisi na kudondoka akazimia.![]()



Marekani mume anapoenda kulala anamwambia mke wake “goodnight baby”