miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
ha hahahaNyie madem mtuoneage huruma jamani. Sasa unamuomba mtu hela ya salun laki tatu. Hata operation ya kichwa haifiki hiyo hela![]()
![]()
ha hahahaNyie madem mtuoneage huruma jamani. Sasa unamuomba mtu hela ya salun laki tatu. Hata operation ya kichwa haifiki hiyo hela![]()
![]()












ha hahaaJana niligombana na mke wng, Akaniambia nibebe kila kitu changu niondoke, Bas kiustaarabu tu nikachukua nguo zangu,mwishoni nikambeba na yeye nikamuweka begani nikaanza kuondoka nae
hua sipendagi ujinga, amesahau na yeye pia ni wangu![]()
![]()
Leo nimepishana na Vitz imeandikwa, "Never trust women"ha hahaa





ha ahhaha akomeLeo nimepishana na Vitz imeandikwa, "Never trust women"
Nikajua huyu mtu lazima alikuaga na Range Rover![]()





























































Demu anapendeza na hela hutoi wewe....ha ahhaha akome




🙂Demu anapendeza na hela hutoi wewe....
HALAFU BADO UNAKUA NA WIVU..
NI UJINGA
kupewa tu bila kuchangia lolote ni bahati
USILALAMIKE SHUKURU
kuna wenzako wanatoboka mifuko na
BADO HAWAONI NDANI![]()
Unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya Mpesa linampata










tafuta pesa sasaUnamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya Mpesa linampata
Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A
![]()
yenu makubwa 


