supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Nimempigia simu demu wangu akapokea bwana ake mwingine na kuanza kunihoji:- "wewe ni nani wampigia mpenzi wangu simu???
Nikamjibu:- "Sorry mimi ni Doctor, mpenzi wako alinambiaga niwe namkumbusha kumeza dozi zake za ARV kila muda ukifika"
Yule mwanaume leo tumemzika...!!
Sipendagi ujinga mimi

Nikamjibu:- "Sorry mimi ni Doctor, mpenzi wako alinambiaga niwe namkumbusha kumeza dozi zake za ARV kila muda ukifika"
Yule mwanaume leo tumemzika...!!
Sipendagi ujinga mimi