WhatsApp Plus APK


Mkuu msaada wa maelekezo jinsi ya kuroot simu
 
Inawezekana

fungua whatsapp kisha setting kisha account kisha privacy kisha utaona read receipts wewe untick hapo kazi imekwisha.

Hiii nahisi ni kwa Groups
 

ilo ni tatizo ambalo sidhan kama kuna apk yoyote imeweza ku overcom, mm natumia gbwhatsapp nilipo enable single tick msg ya saa5 asubuhi unaipata saa tisa.

labda kama kuna mwenye ushuhuda na apk yoyote ambayo ina fanya kazi poa kwenye ilo swala la single tick ata mimi ningeiitaji haweke hapa.
 
Mkuu nataka nione walio online kipindi na chart na mwingine

gbwhatsapp some time inaleta popups za watu walio online kwa wakati huo, yangu huwa inafanyaga ivyo
 
gbwhatsapp some time inaleta popups za watu walio online kwa wakati huo, yangu huwa inafanyaga ivyo

ni feature hiyo mkuu inaitwa online contact toast unaweza weka on au off.
 
ni feature hiyo mkuu inaitwa online contact toast unaweza weka on au off.

Imetulia sana hii.. na ya single tick ingekua inapiga mzigo, daah ingetulia sana lawama zingepungua
 
Sasa mbona kila wakati inata update ukiupdate inaleta kiarabu mkuu hapa vp nisaidie kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…