Whatsapp nne kwa simu moja

Whatsapp nne kwa simu moja

Habari wadau tazama hii screen shoot kwa juu apo kwenye notification bar pana icon nne za whatsApp yani zote kwa simu moja na zipo active muda wote namba nne tofauti.

View attachment 259624

Hii inshu sio free nitafute via Whatsapp +15164000528. Kwa wale mnaotaka namba ya WhatsApp kama hiyo yangu kwa hapa hapa Bongo pia nichekini.

Kama utapenda kupiga simu just check via 0655 500 066 hii pia iko Whats App kama utapenda karibuni..

Mbona zipo whatsapp mbili kwa simu moja tena bure tu??kuna mtu alileta huo uzi humu na sasa hivi simu yangu moja natumia whatsap mbili kwa namba mbili tofauti.
 
download app ktk playstore inayoitwa DISA ikikubali kuna option inayotaka uweka namba nyingine ya whatsapp.
 
mi nisaidie hata hii moja niiondoe. mi nlifikiri umegundua namna ya kuondoa hata hii isiwepo we unataka kuniongezea tena matatizo mengine? ni sawasawa nataka kumwacha mke mmoja aliye naye ananishinda we unanishauri niongeze wengine wawe wanne. kama unajua namna ya kuondoa hata hii moja isiwepo please nambie nikupe sh ngap ila isizid 500,000.
 
Njoo pm
 
Habari wadau tazama hii screen shoot kwa juu apo kwenye notification bar pana icon nne za whatsApp yani zote kwa simu moja na zipo active muda wote namba nne tofauti.

View attachment 259624

Hii inshu sio free nitafute via Whatsapp +15164000528. Kwa wale mnaotaka namba ya WhatsApp kama hiyo yangu kwa hapa hapa Bongo pia nichekini.

Kama utapenda kupiga simu just check via 0655 500 066 hii pia iko Whats App kama utapenda karibuni..

acha mambo yako..hiyo Ishu ni bure na ni rahis sana..kuna thread kibao humu kuhusu hyo Ishu..
 
Habari wadau tazama hii screen shoot kwa juu apo kwenye notification bar pana icon nne za whatsApp yani zote kwa simu moja na zipo active muda wote namba nne tofauti.

View attachment 259624

Hii inshu sio free nitafute via Whatsapp +15164000528. Kwa wale mnaotaka namba ya WhatsApp kama hiyo yangu kwa hapa hapa Bongo pia nichekini.

Kama utapenda kupiga simu just check via 0655 500 066 hii pia iko Whats App kama utapenda karibuni..
Sijui vyote unavyotumia tayari vilishajadiliwa humu
1. WhatsApp
2.OGwhatsApp
3. WhatFapp
4. DISA
 
Back
Top Bottom