Ni rahisi kuepuka kupokea picha za aina hiyo, mimi pia huwa zinaniathiri sana. Jana nime deactivate photo automatic download kwenye Whatsapp, na sasa picha yoyote ile itakayotumwa haiingii moja kwa moja hadi niamue kui download. Fungua Whatsapp, press MENU>SETTINGS>CHAT SETTINGS>MEDIA AUTO-DOWNLOAD, ondoa tick kwenye "image" halafu press OK.
Asante mkuu, mimi naomba unielekeze namna ya kublock group kwenye wassap
Ni rahisi kuepuka kupokea picha za aina hiyo, mimi pia huwa zinaniathiri sana. Jana nime deactivate photo automatic download kwenye Whatsapp, na sasa picha yoyote ile itakayotumwa haiingii moja kwa moja hadi niamue kui download. Fungua Whatsapp, press MENU>SETTINGS>CHAT SETTINGS>MEDIA AUTO-DOWNLOAD, ondoa tick kwenye "image" halafu press OK.
Siku hizi tatu jamani watu wanatutumia picha za kutisha mpaka tunaogopa kulala jamani maana mara kapigwa shoka mara kachomwa kwa bibi yani angalieni na aina za picha na matukio????
Kijana kuwa makini tunakujadili kwenye panel..Ban ya miaka 3 inakunyemelea kwa kosa la uchochezi
Wewe kuna mijitu mengine haina akili
Mie huwa sinaga kawaida ya Ku forward chochote ila unakuta jitu linakurushia ti
yaani kama umeniona.... nimefowadiwa picha za mauaji gani sijui.... watu wamezungushiwa matairi wanachomwa moto... yaani zimeniharibia siku kabisaaaa; na aliyenifowadia namheshimu.. nimebaki naumia tuuuu maana huwa sipendi kabisa kuangualia vitu vya kuchinjana chinjana...
Ningekuwa na dingi km ww ningeshakunywa sumu toka kichanga:A S 109:Huna huo uwezo ww!! Mi ni level za baba yako.
Mi nkihisi tu kama mapicha ya kutisha nadelete.
Sipendi hata wtt waone
Kama hii?
Kweli zinaudhi sana,lakini nimepata somo kuwa hata madaktari wetu na manesi wa sasa wanakiuka sana maadili...picha ya huyo aliyechomwa na sururu inaonekana kabisa imepigwa ndani ya chumba cha upasuaji,sasa ni nani amezipiga kama sio madaktari/nesi?