Zinatumwa na bavicha, vijana wasiokuwa na kazi wa chadema!!
Mmeshindaje?
Siku za hivi karibuni kumejitokeza tabia ya watumiaji wa Whatsapp ku-forward picha zinazoonyesha matukio ya kutisha kama vile watu waliokatwa mapanga, waliokatwa/unguzwa sehemu za siri, waliokitwa mashoka vichwani, waliopata ajali mbaya na nyingine ambazo kwa maoni yangu sioni kama ni sawa kwa picha za aina hii kusambaa kwenye jamii. Inawezekana kabisa baadhi yetu huwa tunafowadi tu picha hizi bila hata kufikiria mara mbili kwamba zina athari gani katika jamii? Mimi binafsi sioni kama picha hizi zinatusaidia chochote sisi kama Watanzania. Ni kweli tunayo haki ya kupata habari lakini nadhani tuangalie sana aina ya vitu tunavyo izoesha jamii ikizingatiwa kwamba picha hizi zinaweza kuangaliwa hata na watoto maana hamna kizuizi chochote. Nadhani itasaidia zaidi kwa matukio tajwa kuripotiwa polisi badala ya kusambaza kwenye mitandao. Au wadau mnaonaje?
yaani kama umeniona.... nimefowadiwa picha za mauaji gani sijui.... watu wamezungushiwa matairi wanachomwa moto... yaani zimeniharibia siku kabisaaaa; na aliyenifowadia namheshimu.. nimebaki naumia tuuuu maana huwa sipendi kabisa kuangualia vitu vya kuchinjana chinjana...
Unatumia makalio we we kufkl..
CCM Ndio wanazisambazaaaaa hizooo
Fanya kama nifanyavyo mie. Waambie hao watumaji kwamba hupendi picha za aina fulani (ziweke wazi), hivyo wasikutumie. Kama bado wanaendelea, simply block akaunti zao ili usizione kamwe!yaani kama umeniona.... nimefowadiwa picha za mauaji gani sijui.... watu wamezungushiwa matairi wanachomwa moto... yaani zimeniharibia siku kabisaaaa; na aliyenifowadia namheshimu.. nimebaki naumia tuuuu maana huwa sipendi kabisa kuangualia vitu vya kuchinjana chinjana...
Hizo picha zinakukera wewe tu ndugu,sisi wenzenu lazima tuangalie watu wanavyochinjwa na kukatwa shoka IN ALLAH'S NAME!
Zinatumwa na bavicha, vijana wasiokuwa na kazi wa chadema!!