Egyps-women
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 497
- 107
dear Egyps-women, pole sana sana kwa hilo, ila kuwa mpole kwanza usipende kutoa maamuzi haraka ktk jambo lolote. Tafuta siku ambayo mume wako ametulia na ana furaha, muongee kwa upendo hayo yote kwa utulivu na kwa nia ya kutafuta suluhisho tena ikiwezekana nje ya nyumbani (kama una weza kufanya hivyo), kabla ya yote muombe Mungu kwanza akusaidie na aseme na moyo wa mume wako ili ajutie jambo hilo na kuacha kabisa na akuombe msamahaLadies and Gents habari za siku nyingi ..
nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia
Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana
mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp
Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili
lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..
Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi
Wenu Egyps
*********
Kama we ni kademu ka ukweli, ulipaswa kuchukua namba za hao mademu wenzako, na kuwapigia kuwakanya. Inaonekana ni kademu kaoga.
kama ni tabia ya mumewe,hata akiwaonya hao haitasaidia kitu...ataenda kwa wengine tu tena
Mkwara tu unasaidia, angalau hawatakua free kujiachia.
Sisi wanaume tunapenda angalau tuonewe wivu, sasa mkeo anajua vimada wako afu ameuchuna tu unategemea nini ka sio siku moja kuwaleta home na kukuambia tupishe kwa muda!.
Ukiwa na wivu sana ujue muda wako wa kuachika unakaribia
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..
nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia
Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana
mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp
Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili
lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..
Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi
Wenu Egyps
*********
Kama we ni kademu ka ukweli, ulipaswa kuchukua namba za hao mademu wenzako, na kuwapigia kuwakanya. Inaonekana ni kademu kaoga.
Ukiwa na wivu sana ujue muda wako wa kuachika unakaribia
Yaani wakichati tu Ndio amekuchiti?????!!!!! Sijaelewa mie wa division five
Kubalianeni kutotumia wassap, period!