riro23
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 790
- 781
Download phone master hutojuta kabsa unachagua apps ipi itumie data ipi isitumieTatizo la kujiunga makundi tofautitofauti hadhaa yaake ndio hiiiyoo..
Zima data ndio dawa kubwa..
Download phone master hutojuta kabsa unachagua apps ipi itumie data ipi isitumieTatizo la kujiunga makundi tofautitofauti hadhaa yaake ndio hiiiyoo..
Zima data ndio dawa kubwa..
Sasa hata akikupa ushirikiano akupe code huoni utakuwa ukiwasiliana na watu wake alioanza kuwasiliana nao.Nawezaje kurudisha whatsapp account ambayo namba yake tayari alishapewa mtu mwengine?
Sasa hata akikupa ushirikiano akupe code huoni utakuwa ukiwasiliana na watu wake alioanza kuwasiliana nao.
Labda umwombe tu kistaarabu akupe namba yako, mwende kwa mtoa huduma na id's zenu awabadilishie majina.
Hii km anatumia unofficial whatsaapau izuie iswe na uwezo wa kuaccess data hadi uifungue ndio iconect na server