Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,701
- 2,613
WhatsApp inayomilikiwa na Facebook wamesema wataanza kuzuia uwezo wa kuforward msg kwa chat 20 tu na kwa chat 5 India.
Pia wataondoa uwezo wa quick forward india.
Hii ni baada ya watu kadhaa kupigwa na wengine kuuwawa kwa sababu ya msg zenye taarifa feki kusambazwa kwa kasi kupitia mtandao huo.
Msg feki kwenye FB na WhatsApp zimesababisha mauaji kadhaa India Myanmar na Sri Lanka.
Kwa vile msg za WhatsApp ni endToend encrypted hata WhatsApp wenyewe hawawezi kuzisoma na kujua unatuma nini, hivyo kushindwa kuzuia msg za uongo.
Badiliko hilo lipo kwenye hatua ya majaribio.
WhatsApp will drastically limit forwarding across the globe to stop the spread of fake news, following violence in India and Myanmar