Na update vipi Mkuu
Bro; Dunia ndivyo ilivyo shukuru Mungu kwa elimu na uelewa ulionao. Ila napenda ufahamu jambo moja kila mtu ni mjinga au mshamba kwa jambo fulani. Kwa hiyo uelewa wangu na kiwango cha elimu si lazima uwe kwenye hizi simu janja.
Sio sababu! Mbona mie natumia Tecno L8 Plus na yenyewe ni version 5.1 lollipop lakini Whatsapp inafungua kama kawaida? Mpe sababu nyingine, sio hii.Update OS ya simu yako 5.1 ni version ya zamani sana.
Aisee umemjibu vema Sana.Bro; Dunia ndivyo ilivyo shukuru Mungu kwa elimu na uelewa ulionao. Ila napenda ufahamu jambo moja kila mtu ni mjinga au mshamba kwa jambo fulani. Kwa hiyo uelewa wangu na kiwango cha elimu si lazima uwe kwenye hizi simu janja.
Cha msingi ni kuelekeza hata kama nilichouliza kwako ni cha kijinga sana.
Kwa kifupi, nime update OS na nikaambiwa ipo up-to-date ila bado tatizo lipo, hivyo ni vema kuonyesha/ elekeza procedures ili nipambane.
Asante.!!!!!
Dunia hii pana sana ndugu. We kwani unajua vyote? Ukionacho rahisi kwako ni kigumu kwa mwenzio na vice-versa is true. Usimdiss mwenzio ati tu kwa kuwa hawezi unachokiweza. Si uungwana huo.....
Very simple mkuu hilo tatizo fuata hatua hiziHabari wadau naomba msaada nina simu ya TECNO -J8 inagoma kusoma WhatsApp kws kutumia "Cellular data" ila nikitumia Wi-Fi inakubali, tatizo nn na nifanyeje ili niweze tumia Cellular data.
Android version 5:1
Kernel version 3:10:65+
HiOS Boom 1:0.0
Yeye binafsi tu ana poor mind maana huwezi kuta mtu anayejielewa akatoa kauli kama hizo
MKuu nimeweka solution hapo juu wala usijari, ukirestore utapoteza data zako na tatizo wala sio kubwa hadi ufanye hivyoFactor reset hiyo simu uweke wasap nyingine itakubali,nilishawahi kukumbana na tatizo hilo
Sent using Jamii Forums mobile app