Ukiwa busy huwezi jihusisha na huo ujinga. unakuwa na magroup ya watsap na watu wapuuzi mtu hata akiona mtu kasinzia kwenye daladala anapiga picha mnaanza kutumiana na kujadili kwann usipoteze muda hapo? kuna magroup yapo strictly sana. huwezi kupeleka story zako za kitoto unafurushwa naramoja. ati unakunywa bia unatuma kwenye group weweHabarini ndugu zangu.
Nimefuatilia kwa muda mrefu bila mashaka, kwamba Watanzania wengi tumechanganyikiwa na WhatsApp kuanzia asubuhi, mchana hadi alfajiri!
Watu wana magroup mpaka 50. Akiamka asubuhi anaanza kuview status za watu wake karibu 300 huko. Bado hajachangia kwenye magroup.
Watu hawafanyi kazi maofisi kwa sababu ya WhatsApp. Ni changamoto sana.
Tumerogwa fulani hivi.
Mi sipo hilo kundi la vibwengo mpenyezoHiyo mitandao inapoteza muda sana, ndio mana wachina wamepangiwa muda huko wakutumia Tiktok haha na app wametengeneza wenyewe,sie huku mtu hafanyi kazi muda wote yupo humo bora wale wanaopata hela kupitia hiyo mitandao atleast! Kuna Mzungu mmoja yupo kwenye late 20s nilikua namfatilia kipindi chake cha live, Kwenye mtandao mmoja wa lugha akawa anasema yeye anapenda kusoma vitabu sana anaweza akakaa wiki hajashika simu,,,nilichoka wakati huku mtu asipoiona simu yake dakika 2 anaweza akapekekwa ICU kwa presha hahahah!!!