Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 2,089
- 3,577
Hiyo mitandao inapoteza muda sana, ndio mana wachina wamepangiwa muda huko wakutumia Tiktok haha na app wametengeneza wenyewe,sie huku mtu hafanyi kazi muda wote yupo humo bora wale wanaopata hela kupitia hiyo mitandao atleast! Kuna Mzungu mmoja yupo kwenye late 20s nilikua namfatilia kipindi chake cha live, Kwenye mtandao mmoja wa lugha akawa anasema yeye anapenda kusoma vitabu sana anaweza akakaa wiki hajashika simu,,,nilichoka wakati huku mtu asipoiona simu yake dakika 2 anaweza akapekekwa ICU kwa presha hahahah!!!
