Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Habarini ndugu zangu.
Nimefuatilia kwa muda mrefu bila mashaka, kwamba Watanzania wengi tumechanganyikiwa na WhatsApp kuanzia asubuhi, mchana hadi alfajiri!
Watu wana magroup mpaka 50. Akiamka asubuhi anaanza kuview status za watu wake karibu 300 huko. Bado hajachangia kwenye magroup.
Watu hawafanyi kazi maofisi kwa sababu ya WhatsApp. Ni changamoto sana.
Tumerogwa fulani hivi.