Habari wakuu
Nina number yangu ya voxox nilikuwa natumiaga whatsapp ila baada ya kubadilisha simu kila nikijalibu kijiunga tena inaniletea hivyo
Sasa sijui tatizo mwenye msaada anisaidie.. asante
Hai voxox wanatabia ya kuchange namba Mara kwa Mara hivyo huenda kipindi cha kubadili simu walishampa mtu mwengine namba yako na sehemu nyengine kukawa kunatokea mambo suspicious hivyo itakua hio namba imekuwa blacklisted.