unable to connect.please check you are connected to internet____Unapata ujumbe gani? na unatumia simu gani?
Nimetembelea.
Nimetembelea.
Hii ni simu mpya kwangu na laini ninayotumia sikuwa natumia kabla kwa hivyo suala la mzigo mzito halipo.
Nim e download upya,nika install na ikaja katiak ku verify number na baada 255 nikajaza namba yangu nikiwa nimeondoa 0 na nikabonyeza OK.Inazunguka weeee na mwisho inanililetea ujumbe hapo juu.

NIMEFANIKIWA!!!!!!!!!!!!!!!hilo ni kawaida kutokea hasa mtandao ukiwa low.
usichoke jaribu tena hasa usiku kuanzia saa 6 hapo mobile network na data connection zinakuwa vizuri.
Sony experiaSimu model gani?