Tumia njia hizi;
1.Ingia setting>Date & Time>weka automatic ikishindikana hiyo,
2.futa file la whattsap then download halafu ujiunge upya
[HASHTAG]#Whttsap[/HASHTAG] huwa ina expire baada ya muda huenda miezi mitatu,miezi sita,miezi tisa au mwaka but sasahiv hazichukui muda mrefu sana kama zamani