Whatsapp Hide your number


Kuna uzi unaozungumzia hitaji lako, search kwenye forum hii ya science,gadget utaupata.
 
mtoa mada ungeandika kiswahili ingependeza zaidi ......... hata sijakuelewa!'
 
mtoa mada ungeandija kiswahili ingependeza zaidi ......... hata sijakuelewa!'

Forums ni sehemu ya kujifunzia pia so mchukulie poa
ukizingatia wengi wetu shule zetu tulizopitia ndo hivo hivo tu
 
Forums ni sehemu ya kujifunzia pia so mchukulie poa
ukizingatia wengi wetu shule zetu tulizopitia ndo hivo hivo tu

Mimi nawashangaa watu wamekazana na lugha hadi wanaacha kujadili mada utadhani hawaelewa alichokiandika
Mkuu Njunwa Wamavoko huo utaalamu wa kuficha namba whatsapp vipi? nasubiri maelekezo.
 
Last edited by a moderator:
wonders shall never end,,,thanx
 
Fanyen kazi nyinyi mnaboa!!
What is the Rationale of doing this?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…