Whatsapp Hide your number

hivi kwa nini mtu uanze kujificha? what is so special???? wewe ni jasusi?? hakuna tofauti na wapiga chabo uswahili...kazi ni kujua ya wenzao tuuuu
 
You can available without your real....




Ndio maana nikamwambia Asprin anipeleke inglishi kozi
Mbona poa tu hiyo! Hilo ni luga la wakoloni bhana, sukuma tu muhimu kueleweka. Akikosea kiswahili hapo ndio mbaya lakini kwa luga la kigeni poa tu!.
 
Last edited by a moderator:

kuna nyingine mkuu umesahau, simu 1 kutumia namba 4 za whatsapp pamoja, kuna whatsapp+, enwapp, sawhatsapp na whatsapp ya kawaida, zote kama una namba 4 unaweza ziweka kwa simu 1 na zikafanya kazi zote, lakini kuna process zake jinsi ya kuweka
 

Mh! Kwa hiyo wewe unataka kupiga watu kuwafundisha kujiunga na VOXOX?!!
https://signup.voxox.com/signupvoxox
 

Free service or ?
 

Hapo kwenye red nimeshindwa, aliyefanikiwa kuweka whatsapp bila namba atoe msaada hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…