Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 402
Kwenye tangazo la kampuni moja ya Simu, mdada anamlalamikia EX wake kwanini amefungua whatsapp group akali-name 'Ma-EX wangu'
Hili ni tangazo tu lakini just imagine posts za humo kwenye group zitakuwaje?
Hili ni tangazo tu lakini just imagine posts za humo kwenye group zitakuwaje?