whatsapp for nokia asha 305

whatsapp for nokia asha 305

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
wadau,
nimetafuta weee whatsapp kwa ajili ya nokia asha 305 lakini sijaipata, sitaki kuamini kuwa haipo maana kuna mtu nilimuona nayo na ana simu inafanana na hii,
ombi langu kwenu kama kuna mdau anajua any hack au njia yoyote, link ili niweze weka whatsapp kwenye hii asha double line
ahsanteni
 
kwan Home page ya whatsapp vp mkuu?? na ktu kngne kuhusu asha baadh zna matoleo mawili noja inakua na line moja na nyngne line mbil,,.. za line mbili mara nyng hazisuport whatsapp if im not mistken
 
305 not supported

[h=2]Supported devices:[/h]
  • Nokia C3-00 · Nokia C3-01 · Nokia X2-01 · Nokia X3-02 · Nokia X2-00
  • Nokia Asha: 201 · 206 Single Sim · 300 · 302 · 303 · 306 · 309 · 311

Nenda WhatsApp for Nokia Series 40 kwenye browser ya simu yako, itadetect kama iko compatible.
 
sipendi nokia

nokia-banned.png
 
kwan Home page ya whatsapp vp mkuu?? na ktu kngne kuhusu asha baadh zna matoleo mawili noja inakua na line moja na nyngne line mbil,,.. za line mbili mara nyng hazisuport whatsapp if im not mistken

yeah nimesoma hivyo, probably ya yule jamaa ilikuwa ya line moja,
 
mkuu nokia 305 haisuport whatsapp.

Nokia 305, 306, 308, 309, 311 zinafanana sana lakini kila moja imeekwa kwa ajili ya matumizi yake.

305 na 308 ni double line zote hizi hazikubali whatsap. Nokia anaclaim double line inadeserve version ya line 2 ya watsap. Pia simu hizi pia hazina 3g.

Labda hii simu mpya 301 na itakua na whatsapp, 3g na double line.
 
ndo maana inaandika 2.5G, basi itabidi tu nimpe simu yake. itabidi abadili tu simu
 
hapo Bas Mfumbuz wa tatzo lako labda mobile9.com kule kuna crack apps nyng!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom