Mimi simo ila nimo kwenye group la watu tunaotoka sehemu moja, hakuna michango kabisa isipokuwa tu pale mmoja anapopata shida kama kufiwa au kukazwa kwa zaidi ya siku 3 anapata mchango wake fasta ambao upo stendibai kisha tubajipa muda wa wa kama wiki ili kurudisha kwenye kile tulichotoa.