Whatsapp & Facebook For Every Java Phone

Naomba namna ya kufanya hii ipate whatsapp
nokia-5130-e-1.jpg
 
Niulize Chochote Kinachokutatiza Kwenye Whatsapp Au Facebook Takuelekeza.. Free

Nilikuwa natumia whatsapp lkn nikatakiwa ni update coz version niliyokuwa natumia ilikuwa too old,nimedownload mpya lkn niki install inakataa na inatoa msg hii,"Parse error.
There was a problem parsing the package.
Unaweza kunisaidia?
Natumia Tecno M3.
 
ni copy si ndio?

#Rakims
 
yah..! Inasupport Me Nnayo Whatsapp Ya Kila mobi.. Ipo Ya N-series s60,s40, java nokia, java htc,samsung,android.. Ipo na Ya Cm Za Kichina Baadhi...
kuna mtu ana Nokia x2-2 na anatumia whatsapp, ila kwangu nilijaribu nikashindwa hivyo simu ipo tuu home, vipi unaweza kunipa maujanja kama wayajua??
 
Back
Top Bottom