iyo kwenye Pc tunafanyaje maana nishajaribu sana imegoma network connection after installation.
Nokia Asha 202 mkuu kama kuna njia yeyote inayowezakunifanya nami nitumie whatsapp.
vipi mkuu me nataka kujua je voda au airtel wanaeza kusoma text zangu za watsapp
vipi mkuu me nataka kujua je voda au airtel wanaeza kusoma text zangu za watsapp
kwa wenye s40 maelekezo pita hapa yamewekwa vizuri, kwangu nimejaribu nimeinstall kwenye nokia asha 200 na 206 dual, How To Download/Install Whatsapp App On Nokia Asha 200 And 205 Phones | Welcome to TechMoses
me nishajaribu ki install kwa asha 200 ishanishinda kama vipi nipigie au nibeep kwa namba hii 0767297210 unifanyie ntakupoza ya maji nipo dar
Are you sure?mi ni hacker naweza kuhack google accounts ku hack facebook accounts Na Whatsapp pia.. Voda Sio Hackers.. Hawawezi.