WhatsApp DOWN - Messaging service not working for millions of users

Sasa km uliiba idea ya kwa mwingine, ukapiga hela hadi ukanunulika na Facebook...unadhan hakuna watu wanaoweza kukupiga chini??...everything is fragile bro, unaweza kuwa kwny Hammer yako, na mm ndio niliyedesign Prorotype lkn sijalipwa hata mia...lazma nilipe kisasi
 
Chanzo cha habari tafadhali...
Da
Chanzo cha habari tafadhali...
Dah siwapendi nyie watu...nikujulishe tu kuwa cku hz hakuna JF Expert anayepost habari srnsitive bila chanzo...so hii Campaign (sourse ya habari) unayoishikilia bango imeshafanyiwa kazi tangu mwaka juzi....

So ni kumchosha mtoa mada kumwambia aupload picha, cjui kupest links...acheni hizo, mmekariri sana. Source inaweza kuwa n yy mwenyewe...aaaaggghhh hii nchi
 
Reactions: SDG
Hayo ndo matatizo ya kutumia android, sisi wenye ios tunapeta tuu!
 
Reactions: SDG
Hayo ndo matatizo ya kutumia android, sisi wenye ios tunapeta tuu!
Android ndio tunapeta naona ios mmepatwa na shida kidogo angalia post #36
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nimeitumia mwisho dk 30 zilizopita.

Ila imeshawahi kutokea kabla.

Muhimu kuwa na zingine kwa simu, kama haya yanatokea.
mbona mie napeta tu cocochanel, sijaona ikikwama, imekwama mida gani, sasa hivi nachat na mtu na yuko dar ananijibu tu,
 
Hii ilikuwa jana saa tano usiku hadi saa kumi hivyo acha kuleta vitu outdated.
 
Na ikrudi hii inaonekana ita misbehave na kujichanganya so message za mtu A zinaweza kwenda kwa C badala ya B.mbona patamu hapo.or utaweza ona message zoooote za fans wako uwiii itakua ndo mwisho wa dunia
nahisi wanafanya update, wanataka kuongeza kipengele kuwa ukiwa unachat kinaonyesha upo eneo gani
 
mbona mie napeta tu cocochanel, sijaona ikikwama, imekwama mida gani, sasa hivi nachat na mtu na yuko dar ananijibu tu,


Ilitokea jana usiku, muda aliorusha uzi huu na iliishia kuwa down duniani kote... ilianza kama saa tano usiku. Ila walishaishughulikia ndio maana mmekuta ipo poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…