Whatsapp calling activation

yes au labda kwasababu ya server labda ila mtu akinipigia napokea kabisa

Wamwanzo ndo walifaidika kwa sasa wamesitisha hadi waiachie kwa wote, sio wewe tu nina marafiki zangu nao hawajaipata ila nikiwapigia naongea nao kama kawaida
 
Mkuu vipi kama nilikuwa activated halafu ni updates kupata version mpya option ya call itaendelea kuwepo au hadi niwe activated upya
 
Mkuu vipi kama nilikuwa activated halafu ni updates kupata version mpya option ya call itaendelea kuwepo au hadi niwe activated upya
Uki-update haina shida,,call option itaendlea kuwepo mkuu.
 
farijiel;12185588]Uki-update haina shida,,call option itaendlea kuwepo mkuu.

Shukran mkuu
 
Nina whatsapp toleo na. 2.12.10 vipi hizo sever bado hazijakaa sawa tu waungwana?
 
mkuu hii mambo ishfungwa nn?
 
Nina whatsapp toleo na. 2.12.10 vipi hizo sever bado hazijakaa sawa tu waungwana?
Bado mkuu...zikikaa sawa ntatoa update,,nakushaur usiache kutembelea huu uzi.
 
Naisubiri kwa hamu na version 2. 12. 12

note 3 haitokei option ya call natakiwa nifanyeje msaada mweutatuzi jamani......!

Wamwanzo ndo walifaidika kwa sasa wamesitisha hadi waiachie kwa wote, sio wewe tu nina marafiki zangu nao hawajaipata ila nikiwapigia naongea nao kama kawaida

Nina whatsapp toleo na. 2.12.10 vipi hizo sever bado hazijakaa sawa tu waungwana?

mkuu hii mambo ishfungwa nn?
Whatsapp activation is working ...
Fuata maelekez kweny post #1
sijajua server zitakua wazi kwa mda gan...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…