Whatsapp Ban got medicine

Whatsapp Ban got medicine

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
8,526
Reaction score
8,033
Baada ya zuckerbeg kutufanyia vioja..sasa dawa imepatkana..whatsapp plus version 6.76. imekuja na Ant ban,material design na meng tu..

Natumia plus bila shida sasa..No ban any more. Finally nmekubali mbele madeveloper wako vizur..yan ndan ya wiki hii wame solve msala.

cheki hapa. ------- - shrink your URLs and get paid!

Kwanza futa official whatsapp then install plus ,some time itakugomea pale ukimalza kuandika namba yako itakwambia please download the latest version. Chakufanya futa hyo plus kisha rudisha tena official then chat na watu kam wa3 hiv kisha back up conv zako then uninstall it and install plus yako sasa.

Your done.
 
Ok sijatumia hiyo whatsapp plus. Je faida yake ni nini? Ukilinganisha na whatsapp ya kawaida. Naomba kueleweshwa.
 
Faida ni kwamba ukiwa na plus utaenjoy features nyingi ambazo huezi kuzipata kweny official version.
 
Tofauti ni ipi kati ya hizo mbili

Tofaut kubwa ni kweny features..mfano ukiwa na plus unaweza hide last seen,second tick,na blue tick pia uta enjoy theme za kutosha na emoji kibao tu.kifupi features ni nyingi sana.
Wasalimie MMU ,na huku unapitaga kumbe
 
Mkuu cjakuelewa vzr nielekeze Vzr kwan kila nikierka ni naambiwa ni donwload latest lakin nikidonwload latest inakuja ya kawaida na c plus nifanyeje
 
Binafsi naona Whatsapp+++ imekaa kidemu demu hivi,,,ovaa
 
Mkuu cjakuelewa vzr nielekeze Vzr kwan kila nikierka ni naambiwa ni donwload latest lakin nikidonwload latest inakuja ya kawaida na c plus nifanyeje

ikikwambia download latest version basi nenda play store na u download official whatsapp then install it.
ukimalza chat na watu kam wa tatu hiv then back up conv zako.ukimalza itoe hyo official ndo urudishe tena hii plus mpya then install..itakua tayar..hii mpya nayo imeandkwa whatsapp tu haina kale ka alama cha jumlisha.so utaigundua ndani ukisha install kwamba ni plus.
 
Tayari Nipo mzigoni na kitu cha anti ban...asante sana mkuu ulieleta huu uzi
 
Kumbukuni kuwa always kuna risk ya security ukiwa unatumia unofficial clients so msivamie tu, hasa hivi unadownload tu APK bila kujua inatoka wapi na wameweka nini humo ndani, mtaumia. Na dev wa WhatsApp plus alisema hatengenezi tena au?

Pia WhatsApp wanaweza wakatumia njia nyingine kudetect kuwa unatumia client nyingine na hapo ban itakukuta.
 
Hayo maswala ya security kayaeleza kwenye website yake vizuri waweza kupitia kusoma
Na waweza tembelea facebook fun page yake uone alichokua aki post siku ya ban ilipotokea na baada ya Ban kutokea

http://www.osmdroid.net/2015/01/Wha...al-Design-Rahil-Android-APK-Download.html?m=1
 
Kumbukuni kuwa always kuna risk ya security ukiwa unatumia unofficial clients so msivamie tu, hasa hivi unadownload tu APK bila kujua inatoka wapi na wameweka nini humo ndani, mtaumia. Na dev wa WhatsApp plus alisema hatengenezi tena au?

Pia WhatsApp wanaweza wakatumia njia nyingine kudetect kuwa unatumia client nyingine na hapo ban itakukuta.

Sasa mwana tech gani anaogopa risk? ww utakua basi hata software za ku crack hutumii.
By the way sio lazma mtu uweke plus una weza baki na official vile vile.
 
anaposema risk anamaanisha kama kuibiwa data, mfano dev wa whatsapp plus anaweza akawa kila backup ya message anaichukua copy yake inamaana conversation zako zote toka mara ya mwisho kuformat simu anaweza kuwa nazo. hakuna security yoyote inayoficha backup ya whatsapp. kama mtu una classified information ni bora usitumie w+ au kuhama android kabisa
 
Na ndo mana nikasema sio lazma kutumia plus anaweza akatumia official mbna poa tu.
 
Hayo maswala ya security kayaeleza kwenye website yake vizuri waweza kupitia kusoma
Na waweza tembelea facebook fun page yake uone alichokua aki post siku ya ban ilipotokea na baada ya Ban kutokea

WhatsApp Plus 6.76 No Anti How to Remove Ban AntiBan Material Design Rahil Android APK Download | OsmDroid.net

Ndo ninachosema basically unamwamini huyu jamaa na data zako zote zilizo kwenye simu, mbaya zaidi mmelink directly kwenye apk mtu anayedownload hana njia ya kujua kama hiyo apk ndo hata ile ya whatsapp plus. 99% hawatacheki hizo hash.
 
Back
Top Bottom