sheikspear
Senior Member
- Aug 31, 2018
- 144
- 58
Natumia Simu ya Android ....nataka kudownload whatsaap web ila playstore haipo siioni ...na Google pia inagoma ....msaada plz naomba .......kuna uzi uliwekwa mda kidg kuhusu kuhack simu inabd udownload hii .....msaada mwenye link yke niweze idownload Simu yangu