Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
cc: MO11Non of the above.
cc: MO11Non of the above.
Wewe tunaendana kabisaaSingle + Crushing + It is complicated
Kumbe aiseeWewe tunaendana kabisaa
Kwanini lakini tunaharibiana we mtoto!!cc: MO11
Maswala mtambuka.Em subiri kwanza..
Tupo Hostel tumepumzika na rafiki yangu hapa, ameniuliza eti mtu "kwa nini unapenda kuchat na ex wako" ? Nami nikamuuliza wewe hujawahi tumia past papers kufanya revision?
Ahaahaaaa nipo tu nakula ubuyu
Pitisha hapa huo ubuyu wako nikuongozee chumvi iliyochanganywa na pilipili ya unga.
mwisho midomo ichubukeTupo Hostel tumepumzika na rafiki yangu hapa, ameniuliza eti mtu "kwa nini unapenda kuchat na ex wako" ? Nami nikamuuliza wewe hujawahi tumia past papers kufanya revision?



Kabisaaaa lazima ubuyu ushukeUnapozea na juice ya ukwaju kwa raha zako.


