Hapo sawa.a.k.a teta sekrin
>>miss neddyhahahaha cc utafiti si tunaenda kwenye kuchukua nick name tu
>>miss neddy
nimeipenda a.k.a yako
>>Utafiti
Nimeitoa mbali sana
>>miss neddy
mbali wapi? huko lol......
>>Utafit
Mbali sana, unapanda magari matatu
>>miss neddy
nielekeze na mimi nikachukue yangu
miss neddy uwe unatosheka na majibu, haya chukua nick name hiyo hapo
masai dada the BOSS CHICK
>>miss neddy
nimeipenda a.k.a yako
>>Utafiti
Nimeitoa mbali sana
>>miss neddy
mbali wapi? huko lol......
>>Utafit
Mbali sana, unapanda magari matatu
>>miss neddy
nielekeze na mimi nikachukue yangu
miss neddy uwe unatosheka na majibu, haya chukua nick name hiyo hapo
My nick name is MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.View attachment 214288
CC: mshana jr MziziMkavu utafiti HARUFU Tee Bag masai dada Honey Faith Salamander MO11 sosoliso Nancy Mitikisiko na wengneoo...
tafuta darubini uwe unanichek pia lol