Anaitwa Messi huyo mtaani kwao.. wewe haya..
Miss mimi kazi yangu nikutoa jina tu, huo uoga umetoa wapi?? Au huyu ndugu wa kina MO11 ??
hahaha wanasemaga tahadhari muhimu machale kundesa
Ukiwa na watu kama sisi usalama 100% miss
hahaha sosoliso umemwambia 200 which which?
Hapo unajumlisha unapata 300%
hahaha wanasemaga tahadhari muhimu machale kundesa
hahahaha basi nakuamini
Muungwana utafiti ameshatuhakikishia usalama wako kwa asilimia 200 miss neddy.. unaweza kwenda nae popote..