Whats your nickname??


umetisha mkuuu
 
Nikisema nitaje aka yangu itakuwa id ya watu maana ni nzuri aisee
 
lakini hujatajwa hapo juu boss hii ni for members only!!

Kweli mkuu hawa ndugu zetu ni kama sikio la kufa...sijui wanaona raha gani kutajana majina kama bendi za wakongoman.......ndio hivyo hatuna budi kuwavumilia....
 
hahaha adui ni wewe sasa ukibadilika je? badala ya jina ukanipa viceversa

Miss mimi kazi yangu nikutoa jina tu, huo uoga umetoa wapi?? Au huyu ndugu wa kina MO11 ??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…