whats your favourite...

whats your favourite...

Joined
Aug 25, 2013
Posts
27
Reaction score
6
survey shows that th world's favourite number is seven followed by three then eight,what's your favourite number and why?
 
Mie sijakuelewa si unajua hii lugha ya malkia ilikuja kwa mashua
 
Mie sijakuelewa si unajua hii lugha ya malkia ilikuja kwa mashua

uchunguzi unaonyesha kua namba saba ndio namba inoyopendwa zaidi duniani ikifuatiwa na namba tatu kisha nane.Je namba uipendayo ww ni ipi na kwann?
chapisho la pili:kiswahili,for honey faith.
 
namba nzuri ni duara, maana Kila kitu kimeumbwa kutokana na duara, sasa namba nzuri ukiondoa duara ni nane 8......
 
Back
Top Bottom