Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
njoo kwangu wkend movie ucheki temptation niliicheki juzi ni nzuri sana
Ni series umo ndani kuna usaliti chuki simanzi na kila aina ya msukosuko ya ndoa ni series nzuri sana
Yes madea sequels zote nazipenda mkuumadea madea
temptetion hukuipenda? mimi napenda movie zake zote
AAA wacha kabisa weka mbali na watoto aisee naipenda balaa Wanaume jaman hawaridhik Brando ukiambiawa sababu ya kuchepuka kwake huwezi ukaja kuielewa hata siku mojaIf loving you is wrong