Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
'Still the One'. - Shania
when you ki$$ me pia mkali
'Still the One'. - Shania
Itakuwa mamito mgambo wa jiji huyo. . .
Dah utakuwa umezisahau...zipo nyingi sana km Rojamila...Adrada...lol
Kibaoooo....
BTW..Chelsea yuko juuuuuuuu
wasalam za wagonjwa hospitalini leo tunawapa pole * 2
I swear-all 4 one!,i'll be thinking about u-london beat,mi wa zamani bana!
These arms - All 4 One
Somebody is sleeping in my bed - Sisqo
...Adrada...lol
Nyie ndio mnaosababisha watu wajitoe kwenye makundi kwa kuwapa vichwa....
Hiyo Kong's ni ngoma ya Dru Hill,
ngoja nkuongezee nyingine.... "These are the times" au "How deep is ur love"
Kama unampenda Sisqo basi unaipenda "Incomplete" , "Enchantment passing thru" (hizi mbili zipo kwenye Unleash the Dragon) ,
"Without U" (hii ni tamu sana ipo kwenye album ya Return of the Dragon).