Whats wrong with you?

Erickb52 unanionea vile my husband is not around eeh?..
Kwani SL nakuonea nini?
Mimi kwa kawaida sijui kusema uongo jamani....
Kwanini nisiseme ukweli kwa manufaa ya Kaby?
Kwanza hata wewe una kashfa ya kupanga appointment na Bagah mkiwa Shinyanga....na unamjua Bagah hajatulia unataka nini ambacho hupati kwa Nitty?
Lol
Kwanza waweza kuta Kaby ana nafuu kuliko wewe.....Kwikwikwiiiiiii
 
Alipendwa hakupendeka, wifi akamove on maana yake akakubaliana na hali ya jamaa kutopendeka nzuri zaidi akamsahau na kuendelea na maisha...
Sasa ndo jamaa anajileta upya, mwanaume mashauzi wa kazi gani?.....
mimi au amy?coz mee napendwa
Angalia wifi yako alivyokuua hapo...
Mnakanyagana kila mtu anasema lake.....
Ila hapo juu ndo panathibitisha kuwa wewe ndo PENDAPENDA na hupendwi Lol
Kama SweetLady angekuwa ndo wifi yangu na ananiua hivi ningeandamana hadi kwa kaka amwache

 

theres nothing you can ever do to separate us
 
Kanyaga twende,tupa nje,ruka ukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…