Jamani naomba wataalam mnisaidie,
Kwa nini serikali inaendelea kujenga majumba makubwa kama haya katikati ya mji? ukichukulia na miundo mbinu yetu iliyo mibovu? I cant comment, maana kuna wataalamu humu wenye ujuzi zaidi yangu. Ila kwa nini mfano wasingepeleka huu ukumbi sehemu ya nje ya mji..ambako..ingepanua mji na kupunguza karaha ya usafiri kila wanene wakiingia mjini kwenye mikutano?