What's wrong with Jay Z's legs?

What's wrong with Jay Z's legs?

Nasikiaga huyu jamaa ni businessman mwenye pesa chafu yaani bilionea,hata hafanani!

Jamani, mimi mwenzenu napata taabu sana namna Kiswahili cha siku hizi kinavyobadilika. Yaani siku hizi sielewi kabisa namna lugha yetu inavyobadilika. maneno mengi ya Kiswahili siku hizi yanaongezwa na 'ga' mwishoni....nasikiaga, nakwendaga, napumzikaga, nasemaga, na kadhalika. Yaani mitaani ni hivi hivi, hata kwenye vyombo vya habari hasa redio na tv. Is this correct? You tell me, I am serious on this.
 
Jamani Beyonce namtanmani lakini niko bongo ananidatisha na mavazi yake "Dress to kill"
 
Back
Top Bottom