Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Jay Z pengine aliponyoka kutoka midomoni mwa Polio!
Nasikiaga huyu jamaa ni businessman mwenye pesa chafu yaani bilionea,hata hafanani!Jay Z pengine aliponyoka kutoka midomoni mwa Polio!
Nasikiaga huyu jamaa ni businessman mwenye pesa chafu yaani bilionea,hata hafanani!
Ubilionea wake na miguu yake vina uhusiano gani mkuu?Nasikiaga huyu jamaa ni businessman mwenye pesa chafu yaani bilionea,hata hafanani!
Chezea niga weye
Kumbe jamaa miguu fito/fidodido style. ...ama kweli suruali zinaficha mengi
Nasikiaga huyu jamaa ni businessman mwenye pesa chafu yaani bilionea,hata hafanani!
Beyonce shape yake mmhhhhh .......inavutia sana
Mkuu umeambiwa miguu ya Jay Z, sasa wewe sijui macho yako umeyapeleka wapi. Miguu umeiona?