Vipaji vinaangamia nguvu kazi inapotea watu wanaporomosha magorofa na kufanya matusi mtaani
Hawa wasanii wanafanya kwa kuiga, akisikia Snoppy doggy dog anavuya wanaiga, hawajui ukishaingia humu kutoka ni ngumu.
Sawa na kula nyama ya binadamu hutakaa uache! They should stop imitating everything from abroad wanatakiwa kujitambua
Unga ni janga pata picha Rashid Makwilo(Chid Benz) alivyokauka na ngada.