What's wrong? mbona umeme haukatiki?


Ehh we Mkaka Vipi..?
 

Nakubaliana na wewe mkuu!!Umenena vema.
 

Nitashiriki maandamano!
 

Sio sahihi kusema Serikali imetunga sheria ya makampuni indendent kugenerate umeme pekee yake. Hiyo sheria inaruhusu makampuni binafsi kugenerate, transmit and ku-distribute umeme. EWURA imepewa mamlaka ya kutoa leseni kwa kampuni zote ambazo zina nia ya kushiriki ktk sekta hii. Ndo maana Leo hii Umoja Light wanaleseni ya kusambaza umeme kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Hili kisingewezekana kwa sheria ya zamani
 
miujiza ya kikombe cha babu hii... siku ya tatu leo sijauona mgao mpaka nimeumiss aiseee
 

Kula tano nene sana.....
Mhandisi mwandamizi, wa mifumo na njia kuu za usafirishaji wa umeme
 
Mkuu tatizo langu ni heading yako. Nimecheka mpaka mbavu zinauma. Yani watanzania tunaona kama kuna tatizo kwa sababu tumepata nishati! Yan mtu anapata haki yake ila anaona kama nafasi ya upendeleo,jamani! Unankumbusha mtumishi mmoja alitoka serikalini mshahara wa laki3.5 akaja mbeya kwenye kampuni ya vinywaji mshahara 1.5mil.nlicheka aliponiambia,kaka sijui wamesahau?mbona kama scale yangu imekuwa tofauti na nlivojua? Mbona ela zitazidi matumizi?? Nlicheka sana nkamwambia kijana iyo ni haki yako! Mkuu nami nasema ni haki yetu kupata umeme wala sitawashukuru kwani wametimiza wajibu wao,achana na usanii wao wa eti wanasubiri mvua,wapi?!!
 

Hii heading ya topic iko kikomedi komedi na inakufanya ucheke tu!

Nsiande when it comes to mambo ya UMEME, you are my girl.
Sihitaji source maana wewe ni source yenyewe.

Bless you!
 
senki yuu foo yuzufulu nuuzi, senkyuu batani naigonga haraka iwezekanavyo
IPTL went up to 70MW from 10MW. Sirikali imekubali kununua mafuta. Migodi also imepunguziwa umeme. And Dowans, InshaAllah will be switched on soon. And mgao will be history until for now.
 
tatizo la nchi hii suala la PR si la muhimu ndio maana watanzania tumezoea kuhisihisi na kuvumisha mambo, tanesco wanapaswa kutujulisha ikiwa mgao umepungua au mzimaji ameenda kwa babu kupata kikombe bado hajarudi...hv tanesco wana wwebsite inayokuwa updated?? Au wameshauza majenereta yao??
 
Moelex23...sawia kabisa

nami nilishangaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…