Mama hana chura!
Hakuna kitu hapo... Holaaa kabisa... Gpa ya 324:20 am watoto bado wamelala na kama 4:20pm ndio wapo kwenye school bus kurudi majumbani. Pia kama itakuwa weekend sio muda wa kula 4:20
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Iyo ni stop watch, count down ya wewe kuvumbua nini kimekosewa pichani4:20 am watoto bado wamelala na kama 4:20pm ndio wapo kwenye school bus kurudi majumbani. Pia kama itakuwa weekend sio muda wa kula 4:20
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
ni kweli hao watu ni wa penseliSio kweli, kwani hao watu ni wa kweli?
Angalia saa kiongozi utagundua hakuna muda wenye mshare mmoja hivyo haijulikan no saa ngapiNaona kama mtoto wa kiume ana maziwa, hivi
Sijaelewa kabisaNa umekula bonge la nyanjo kwa sec 1 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kweli kabisa jagi halina kitu lakin linatoa majihilo jagi kama halina kitu