What's the soonest you slept with someone after meeting?

What's the soonest you slept with someone after meeting?

It depends, mwanamke wa kuwa naye au wakupita!
 
...just as the title reads, answers plzzzzz

Soonest? Labda baada ya kujihakikishia kuwa wewe na yeye manapenda kwa dhati na hamna nia ya kuchezeana na kufanya uhuni. Pia ni vyema mkaziangalia afya zenu mapema kabla humjajikuta mmeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi yenye wimbi la majuto ya milele.

Hakuna ufahari wala sifa yoyote ya maana kwa kukutana na mwanamke na kulala naye mapema. Hizo pia ni dalili za kutokuwa na upendo wa kweli na saa nyingine ni dalili za umachepele!


Babu, HP.
 
Met her at 21:00hrs at UBT, banged her 30mins later..Ujana raha asee..
...Th rest ni miezi, kama vile unaomba kujiunga UD!!!
 
I think everybody slept with their mum on their first date. That's how it's post to be for the newborns, no?
 
Ahahahha amenikumbusha scholarship moja niliomba January 2010 nikaambiwa majibu nitapata January 2011....gadem!!!!!!!

Hahha sa huo usumbufu tosha.. hapo mpka mwaka unaisha scholarship ishaexpire na hapo ni majibu it's not granted
 
Back
Top Bottom